Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan: Uislamu huleta Amani na Furaha
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan: Uislamu huleta Amani na Furaha
Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan: Uislamu huleta Amani na Furaha
Takriban watu 250 wameshiriki kwenye Majadiliano ya Habari katika Gazeti la Umat: Mustakbali wa Ummah katika Miaka Mitano ijayo, Alhamisi (31/10/2019) katika eneo la Gedung Joang, Jakarta.
Hizb ut Tahrir / Scandinavia iliandaa Kongamano la kila mwaka kwa anwani: “Uislamu baina ya Upotoshaji na Ukweli”
Ripoti ya hivi karibuni ya ukaguzi nchini Tanzania imefichua zaidi kwamba katika mfumo wa kirasilimali unaojifunga na kipimo cha maslahi, kadhia ya kupambana na ufisadi inasalia kuwa maneno matupu bila ya uhalisia wowote hata ingawa baadhi ya watu ndani ya nidhamu hii wanadai kuwa makini katika kupambana nao.
Warsha ilianza kwa kusomwa Aya za Qur’an Tukufu katika ukumbi uliojaa wageni waheshimiwa, kisha kufuatiwa na hotuba ya ndugu Muhammad Yassin, “Hitajio la Utu katika Ufunuo” na vipi ummah unaamini ufunuo huu na kuweza kuongoza kwa mwamko sahihi.
Katika kujibu shambulizi la kinyama kwa Waislamu wenzetu wa Uighur Mashariki ya Turkistan yaliyo fanywa na serikali ya China, na pia chini ya muongozo wa Mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu al-Rashtah, Amir wa Hizb ut Tahrir, ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Australia ulitembelea Ubalozi wa China uliopo jijini Sydney
Katika kuitikia maelekezo ya mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu al- Rashtah, Amiri wa Hizb ut Tahrir, ujumbe wa Hizb ut Tahrir ulitembelea Ubalozi wa China jijini Brussels kukabidhi taarifa kwa vyombo vya habari iliyo tolewa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwa anwani:
Zaidi ya wanachuoni 600, Masheikh na wahudumu wa Kiislamu, wakiwemo Habayeb na Maprofesa, walishiriki mkutano wa wanachuoni katika eneo la Madura / Java Mashariki, uliosadifiana na kumbukumbu la tukio la Isra na Miraaj ya Mtume (saw).
Hizb ut Tahrir / Denmark iliandaa maandamano mbele ya Bunge la Denmark kupinga mauaji ya halaiki nchini New Zealand.
Rajab ni mwezi mtukufu. Ni katika mwezi huu ambapo kuna matukio makubwa kwa Waislamu. Tukio la Isra na Mi’raj la Mtume (saw), kufunguliwa kwa Baitul Maqdis Palestina na Salahuddin al-Ayyubi nako kulitokea katika mwezi huu wa Rajab.