Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 279
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 279
Vichwa Vikuu vya Toleo 279
Hizb ut Tahrir / Uholanzi imefanya msururu wa matukio kufuatia muongozo wa Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni mkubwa, At Bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amuhifadhi, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu ikifanywa na Hizb ut Tahrir katika kumbukumbu ya 99 ya Kuanguka kwa Khilafah 1441 H - 2020 M.
Jumatatu, 28 Rajab 1441 H - 23 Machi 2020 M
Kikao cha kipekee kwenye Runinga ya Al-Waqiyah
Maandamano yalifanyika mbele ya Msikiti wa Hussein katika mji wa Idlib kwa kichwa, "Suala sio Barabara Kuu ya M4, Suala letu ni Kuanguka kwa Utawala."
Maandamano yaliyofanywa na watu pamoja na Waheshimiwa wa Al-Muharrar katika Barabara Kuu ya M4 wakipinga kufunguliwa kwa barabara na kuruhusu kupigwa doria, kwa kichwa, "Ni nini kitatokea baada ya doria? Vipi kuhusu Kuanguka kwa Utawala?"
Vichwa Vikuu vya Toleo 278
Msimamo wa watu wa Al-Muharrar katika Kura ya Maoni kuhusu Mkataba wa Amani baina ya Erdogan na Putin Kusitisha Vita baada ya utawala wa Syria kuchukua barabara kuu ya M5 za [barabara kuu ya Damascus-Aleppo].
Maandamano yaliyofanywa na watu pamoja na waheshimiwa wa Al-Muharrar katika barabara kuu ya M4 wakipinga kufunguliwa kwa barabara na kuruhusu kupigwa doria, yaliyopewa jina, "Hatutakubali mbadala isipokua kuanguka kwa Utawala"
Hizb ut Tahrir /Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Babka, Idlib, kwa kichwa, “Enyi Wanachama wa Kundi, Msiwe wasaidizi wa Ukandamizaji!”