Jumatatu, 28 Safar 1446 | 2024/09/02
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Serikali ya Bajwa-Imran Yashindwa Kutii Agizo la Kumleta Naveed Butt katika Kesi ya Watu Waliopotea, lakini Huchangamka Kuchukua Hatua kwa Kila Matakwa ya Mabwana zake Wakoloni

Msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, Naveed Butt, anaendelea kutekwa nyara tangu tarehe 11 Mei 2012, wakati majambazi kutoka kwa mashirika ya serikali walipomteka nyara kwa nguvu nje ya nyumba yake jijini Lahore, mbele ya watoto wake na majirani waliojaa hofu.

Soma zaidi...

Kama Ambaye Hali Ilikuwa Bora kabla Kuwasili kwa Maelfu ya Wanawake na Watoto Wakimbizi!

Mnamo 10/05/2019, maamuzi yalipitishwa na Baraza la Ulinzi wa Juu kuvunjilia mbali majengo hayo ya simiti katika kambi za wakimbizi na kuipa kila familia sehemu iliyojengwa kwa mashiti na mbao ndani ya saa 24 za ubomozi huo wa vyumba vya simiti ambao haukufanyika.

Soma zaidi...

Tangazo la Mwandamo wa Mwezi wa Shawwal wa Mwaka 1440H na Tahnia za Sikukuu yenye Baraka ya Idd ul-Fitr

Baada ya kufanya uchunguzi juu ya mwezi mpya wa Shawwal baada ya kuchwa kwa jua siku ya Jumatatu, kuamkia Jumanne, tunadhibitisha kuonekana kwa mwezi mpya kwa mujibu wa vigezo vya Shari'ah. Hivyo basi, kesho, Jumanne ni siku ya kwanza ya mwezi wa Shawwal na ni siku ya kwanza ya Idd ul-Fitr yenye baraka...

Soma zaidi...

Mauaji Dhidi ya Watoto wa Yemen yanaendelea, ilhali Wauaji wanacheza dori ya Waweka Amani

Mnamo 26 Aprili, Umoja wa Mataifa ulipeperusha ripoti kwamba idadi ya waliofariki ndani ya Yemen kutokana na mzozo unaoendelea unatarajiwa kupita 230,000 mwishoni mwa 2019. Utafiti kwa kichwa “Tathmini ya Athari ya Vita Juu ya Maendeleo ndani ya Yemen”,  pia iliripoti kuwa Wayemen 131,000 watakuwa wamefariki kutokana na athari mbaya za vita baina 2015 na 2019 mfano kutokana na njaa, maradhi na kukosekana kwa kliniki za afya. Kwa mujibu wa UN mwishoni mwa mwaka, mapigano yatakuwa yamechukuwa maisha ya watu 102,000.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu