Jumatatu, 28 Safar 1446 | 2024/09/02
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Utawala wa Uturuki Unaendelea Kutekeleza Jukumu lake Kikamilifu Kuyarudisha Tena Mapinduzi ya Ash-Sham katika Safu ya Utawala wa Kihalifu

Waziri wa Ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar alitangaza kuwa nchi yake itachukua hatua zote dhidi ya wale ambao hawatekelezi usitishaji mashambulizi huko Idlib, pamoja na wenye misimamo mikali, akisisitiza kuwa Ankara "itawalazimisha wao kutekeleza."

Soma zaidi...

Miezi Sita Imepita, Na Wabebaji Ulinganizi na Watu Maarufu wa maeneo yaliyokombolewa Bado wako katika Magereza ya al-Julani

Ni muhimu kutambua kuwa matendo haya ya kukandamiza sio maalumu kwa kikundi cha HTS (Hay'at Tahrir al-Sham, “Shirika la Ukombozi wa Al-Sham”), lakini badala yake ni vitendo jumla vya vikundi vingi vinahusiana na ujasusi wa dola; kwa idadi tofauti ya ukandamizaji na uhalifu.

Soma zaidi...

Chuki za Ofsted dhidi ya Uislamu ni Dhahiri kuwa ni Msukumo wa Uongo

Shule huru ya Kiislamuu inatafuta tathmini ya mahakama kuhusu kushindwa kwake katika kufaulu ukaguzi wa viwango vya ubora wa elimu kwa msingi kwamba katika maktaba yake kuna vipeperushi vyenye zaidi ya miaka 25 vikifafanua juu ya Kongamano la Khilafah lililo andaliwa na Hizb ut Tahrir nchini Uingereza mnamo 1994.

Soma zaidi...

Ewe JAIS! Je Uhalifu na Uovu wote huko Selangor Umemalizika Hadi sasa Unawaendea Walinganizi kama Wahalifu?

Bila kujihisi na hatia, bila ya aibu na bila kumuogopa Mwenyezi Mungu (swt), Kitengo cha Dini ya Kiislamu cha Selangor (JAIS) kimewashtaki Dada watatu wa Hizb ut Tahrir, pamoja na wengine wawili, katika Mahakama ya Chini ya Shariah ya Shah Alam mnamo 29/01/2020 kwa kosa la ‘kuwatukana viongozi wa kidini’.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu