Jarida la UQAB Toleo 89 - Juni 2024
- Imepeperushwa katika Jarida la UQAB
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Juni 2024 M.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Juni 2024 M.
Dkt. Mostafa Madbouly, Waziri Mkuu, alitangaza ongezeko la bei ya mkate iliyofadhiliwa kutoka piaster 5 hadi piaster 20 kuanzia Juni ijayo. Madbouly aliongeza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo kwamba gharama ya mkate kwa serikali inafikia piasters 125, lakini iliuzwa kwa piaster 5 pekee, hivyo serikali ina gharama ya ruzuku ya pauni bilioni 120.
Mwanajeshi mmoja wa Misri aliuawa katika makabiliano ya risasi kati ya wanajeshi wa 'Israel' na Misri kwenye kivuko cha Rafah mnamo siku ya Jumatatu, kama ilivyothibitishwa na Shirika la Utangazaji la 'Israel'. (Sky News Arabia, 27/5/2024).
Takriban Kizazi (Gen Z) milioni 10 nchini Indonesia hawana ajira au wanajulikana kama NEET (wasio katika ajira, elimu na mafunzo). Ukweli huu unatokana na data ya BPS (2021-2022) ambapo kulikuwa na watu 9,896,019 mnamo Agosti 2023, ambayo ni karibu 21% ya idadi ya watu waliozaliwa kati ya 1997 na 2012.
Kamari ya leo sio juu ya ukoloni, wala afisi za balozi za Magharibi, bali ni juu ya Uislamu, ambao unatabikishwa na dola ya Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, ambayo muda wake ni umekuwa mrefu, na ambayo alfajiri yake iko karibu, Mwenyezi Mungu akipenda.
Katika Khilafah, chanzo kikubwa cha utajiri katika uchumi, nishati, kinagawiwa watu, kwa pamoja. Kutokana na mtazamo wake wa kipekee wa umiliki, Uislamu unahakikisha mzunguko wa mali katika jamii. Uislamu unazuia mali kujilimbikiza mikononi mwa wawekezaji wachache.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha Wanawake “Ulipuaji Mabomu, Mauaji na Uharibifu... Ifikieni kwa Haraka Rafah!”
Katika muendelezo wa mateso ya kimfumo dhidi ya wale wanaobeba Da'wah ya Uislamu na Khilafah, mnamo tarehe 14 Mei, 2024, majambazi wa vikosi vya serikali walimkamata Hedayet Hosen (umri wa miaka 57) - mtetezi wa ulinganizi wa kusimamishwa tena Khilafah Rashida, na wakati wa kuhojiwa rumande walimtesa kiasi kwamba alilazimika kulazwa hospitalini
Uvamizi wa Kiyahudi unaendelea kuzidisha ukatili wake wa hapo awali, ukifanya uchinjaji na mauaji dhidi ya walio dhaifu zaidi. Wakati huu, waliangusha mabomu yaliyolenga wanawake na watoto waliokimbia makaazi yao katika kambi za Mahema za Rafah.