Alhamisi, 09 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/12
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mifumo ya Kidemokrasia Inaishi Sambamba na Matatizo na Migogoro na Haiyasuluhishi

Amri ya kifalme ilitolewa kuvunja Bunge na kuitisha tena uchaguzi. Mandhari hii imerudiwa nchini Kuwait kwa miongo kadhaa. Baada ya hali kuwa mbaya zaidi kati ya mamlaka hizo mbili, ikifuatiwa na mivutano ya wabunge na wananchi, na mkwamo wa kisiasa unaosababisha kuvurugika kwa kazi za Baraza na serikali.

Soma zaidi...

Marufuku Iyopendekezwa ya Hijab katika Shule za Denmark ni Shambulizi kwa Kitambulisho cha Kiislamu

Mnamo tarehe 24 Agosti, tume inayoitwa "Tume ya mapambano ya wanawake yaliyosahaulika" iliyopewa kazi na serikali ya Denmark, ilichapisha mambo tisa ya kupambana na kile ambacho kimeanzishwa katika siasa za Denmark kama "udhibiti hasi wa kijamii". Pendekezo, lililopata mjadala mkali zaidi katika vyombo vya habari vya Denmark na kwenye mitandao ya kijamii, lilikuwa ni pendekezo la kupiga marufuku hijab za Kiislamu katika shule za msingi.

Soma zaidi...

Taasisi ya Afisi ya Rais na Kushindwa Kifikra Kuikabili Hizb ut Tahrir

Mnamo Jumanne, tarehe 30/8/2022, ujumbe kutoka Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Tunisia, ukiongozwa na Ustadh Yassin Bin Yahia, wakiwemo wajumbe Ustadh Al-Habib El Madini na Mohammad Ali Bin Salim, walitembelea Taasisi ya Tunisia ya Mafunzo ya Kimkakati, ambayo ni taasisi rasmi chini ya usimamizi wa Afisi ya Rais wa Jamhuri.

Soma zaidi...

Urusi Yaimarisha Uwepo wa Kijeshi katika Asia ya Kati

Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergei Shoigu alitangaza nia ya Moscow ya kuimarisha kambi za kijeshi nchini Tajikistan na Kyrgyzstan kuhusiana na hali nchini Afghanistan. Mkuu huyo wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi alitoa taarifa hiyo dhidi ya mazingira ya mazoezi ya kijeshi nchini Tajikistan "Ushirikiano wa Kikanda - 2022" pamoja na ushiriki wa nchi za Asia ya Kati, Amerika, Mongolia na Pakistan.

Soma zaidi...

Huzuni ya Watawala wa Waislamu juu ya Kifo cha Malkia wa Uingereza, Inatokana na Kujitolea kwao kwa Ukoloni wa Magharibi

Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif, aliandika kwenye anwani yake rasmi ya Twitter mnamo 8 Septemba 2022, “Nimehuzunishwa sana na kifo cha Mtukufu Malkia Elizabeth II. Pakistan inaungana na Uingereza na mataifa mengine ya Jumuiya ya Madola kuomboleza kifo chake.”

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu