Ijumaa, 10 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/13
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Urasilimali na Chakula Mgogoro wa Chakula ni wa Kutarajiwa katika Mfumo wa Kirasilimali Sehemu ya 1: Uhalisia wa Mgogoro wa Chakula

“Tunasikitishwa sana na jinsi vita vya Putin nchini Ukraine vimekatiza pakubwa silsila za usambazaji za kimataifa za chakula na kilimo, na tishio vinavyoleta kwa usalama wa chakula duniani. Tunatambua kuwa nchi nyingi duniani zimekuwa zikitegemea chakula na pembejeo za mbolea kutoka Ukraine na Urusi, huku uchokozi wa Putin ukivuruga biashara hiyo.” (Taarifa ya Pamoja ya Ikulu ya White House ya Rais wa Marekani Joe Biden na Rais wa Muungano wa Ulaya Ursula von der Leyen)

Soma zaidi...

Jibu La Swali: Je, Riziki (Rizq) ni Kila Chenye Kuzawadiwa Kifedha?

Je, riziki inaishia kwenye pesa tu, ikimaanisha kila kitu kinachoweza kumilikiwa kwa sababu ya Kisheria? Au je, mali katika pesa, rasilimali inayohamishika au isiyohamishika ni sehemu tu ya rizq, na haijumuishi kuwa ndio rizq (riziki) pekee? Kwa mfano, je mke mwema ni rizq (riziki)? Na je, afya, mafanikio na kizazi chema ni miongoni mwa rizq (riziki) pia?

Soma zaidi...

Sheria ya Ulinzi kwa Wanaobadili jinsia ni Shambulizi dhidi ya Uislamu na Maadili ya Familia. Watawala wa Pakistan, Ni Watumwa wa Magharibi, Wanaotafuta Kuangamiza Kizazi Chetu Kipya

Mnamo tarehe 5 Septemba 2022, Seneta wa Pakistan Mushtaq Ahmad aliwasilisha mswada wa marekebisho katika Sheria ya Ulinzi kwa Wanaobadili Jinsia kwa Kamati ya Kudumu ya Seneti ya Haki za Kibinadamu. Katika mkutano huo, Seneta Mushtaq Ahmad, alisema kuwa, "‘Transgender’ ni neno la Kimarekani, halina nafasi katika Uislamu, na sheria kuhusu jamii ya watu waliobadili jinsia ni kinyume na Qur'an na Sunnah na itapigia debe ushoga."

Soma zaidi...

Je! Utawala wa Kifalme Utaweza Kubakia Hai?

Kifo cha Malkia Elizabeth II kimeifanya Uingereza kuingia katika kipindi cha maombolezi ya pamoja. Upeperushaji mpana wa mazishi na utawala wa malkia wa miongo saba umeshughulisha watu. Kumekuwa na mihemko na rambirambi kutoka kote ulimwenguni huku wengi wakimuona Malkia Elizabeth II kama mtu thabiti katika siasa za Uingereza.

Soma zaidi...

Uadilifu Hupelekea kwenye Kutii Kanuni bila ya Haja ya kutumiwa Nguvu

Mnamo Ijumaa, 16 Septemba 2022, BBC iliripoti juu ya kifo cha mwanamke mmoja wa Iran mwenye umri wa miaka 22 baada ya kukamatwa na polisi wa maadili kwa madai ya kutofuata sheria kali za kufinika kichwa. Kukamatwa kwake kulisababisha apelekwe hospitalini kwa jeraha la kichwa lililomsababishia kukosa fahamu kwa siku kadhaa.

Soma zaidi...

Kwa kuzingatia Udhalilifu wa Watawala wa Sudan, Balozi wa Marekani anakaimu kama Mtawala Mkuu wa Sudan

Balozi wa Marekani nchini Sudan, John Godfrey, mnamo Jumamosi tarehe 10/09/2022, alitembelea El Fasher katika jimbo la Darfur, na kufanya mkutano na serikali ya jimbo hilo, na kusema kuwa ziara yake imekuja kwa lengo la kufahamu hali ya mambo kwa ujumla Darfur, na kinachofuata ni utabikishaji wa Mkataba wa Amani wa Juba, pamoja na kubainisha masuala ya maendeleo na utulivu.

Soma zaidi...

Rasimu ya Sheria ya Haki za Mtoto katika Baraza la Wawakilishi la Jordan ni Aina ya Vita Dhidi ya Uislamu na Lazima Ikataliwe

Haibishaniwi kwamba Sheria ya Haki za Mtoto iliyoagizwa kutoka UNICEF, moja ya mashirika ya kimataifa ya Umoja wa Mataifa, ni sheria ambayo haina uhusiano wowote na haki za watoto katika Uislamu,na ni aina ya vita dhidi ya Uislamu kama mifano yake iliyotangulia ya sheria za haki za binadamu na CEDAW inayo husiana na wanawake, ambapo Magharibi inajaribu kuanzisha maadili ya urasilimali uliooza, ambayo ni kinyume na...

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu