Kwa Hakika Pamoja na Uzito upo Wepesi!
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mapambano baina ya Haki na Batil yamekuwepo tokea Adam (as) alipoumbwa na yatakuwepo hadi Siku ya Hukumu.
Mapambano baina ya Haki na Batil yamekuwepo tokea Adam (as) alipoumbwa na yatakuwepo hadi Siku ya Hukumu.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Syria iliwasilisha waraka wake wa tatu wa kisiasa pamoja na ujio wa kumbukumbu ya miaka mia moja ya kuvunjwa kwa Khilafah kwa mikononi ya mhalifu Mustafa Kamal,
Saudi Arabia imetumia kwa uchache $ 1.5 bilioni kwa hafla za hali ya juu za michezo ya kimataifa kwa lengo la kuimarisha sura yake, ripoti mpya inafichua.
Kisimamo katika kijiji cha Sahara viungani mwa Aleppo kwa anwani "Ufunguaji wa Vivuko ni Usawazishaji Mahusiano Pamoja na Serikali"
Katika miaka 100 iliopita, ardhi za Waislamu hazikujua chochote isipokuwa kiza, vifo, maangamizi, ufukara na kukata tamaa. Mauwaji, mateso, ukandamizaji, ufidhuli na maafa yamefumwa kwenye msingi wa maisha ya watu katika eneo hili.
Vichwa Vikuu vya Toleo 332
Mnamo 10 Machi 2021, Waziri wa Usalama wa Umma wa Sri Lanka, Rear Admiral (Mstaafu) Sarath Weerasekara aliwasilisha ripoti ya tume ya pamoja ya mashirika anuwai bungeni kuhusu matokeo ya mashambulizi ya kigaidi ya Jumapili ya Pasaka 2019.
Jioni ya Jumapili, 21/03/2021, Huduma za Usalama za serikali nchini Jordan zilimkamata Ustadh Adel Sarsour kutoka nyumbani kwake na kisha kumpeleka hadi kituo cha usalama,
Baada ya miaka mingi ya tuhma dhidi ya serikali ya Ufaransa kwa dori yake katika mauwaji ya Rwanda ya 1994, ambayo inakadiriwa kuwa watu 800,000 waliuawa,
Tanzania imeendelea kuwa na upungufu wa mafuta ya kula hali inayopelekea kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo, kufanya maisha kuwa magumu, ikiathiri maisha ya wengi katika wananchi wa kawaida na kupandisha bei za vyakula, kwani biashara ya vyakula hutegemea mafuta ya kula.