Jarida la UQAB Toleo 50 - Machi 2021
- Imepeperushwa katika Jarida la UQAB
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Machi 2021 M.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Machi 2021 M.
Afisi Kuu ya Habari: Kalima ya Dkt. Nazreen Nawaz kwa Mnasaba wa Kuja kwa Mwezi wa Baraka wa Ramadhan 1442 H
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Aprili 2021 M.
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu, na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote, Muumba wa wanadamu na Mtumaji wa manabii pamoja na risala, Mshindi wa wenye nguvu na Mtawala juu ya waja,
Sheikh wetu mkubwa, nina swali juu ya rai za kifiqhi za maimamu wanne na mujtahidi wengine ambao wanatofautiana na sisi kuhusu rai za kifiqhi zilizo tabanniwa katika Hizb, na ambazo zinaingia katika ile inayoitwa fiqhi ya ikhtilaf
Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Jordan anamuomboleza mtu katika ya watu wake bora, mbebaji Dawah, Haj Abdelrahman Husain (Abu Maher), ambaye alikwenda katika rehma za Mwenyezi Mungu Azza wa Jal mnamo Alhamisi akiwa na umri wa miaka 87 baada ya maisha ambayo aliyatumia katika kumtii Mwenyezi Mungu (swt)
Mpango wa sherehe ya golden jubilee wa Bangladesh uligeuka kuwa kumchungu wakati maandamano makubwa yalipotokea dhidi ya Waziri Mkuu wa India Narendra Modi, ambaye aliwasili Dhaka mnamo Machi 26 kama mgeni mkuu.
Baada ya miezi mitatu ya mvutano na ugomvi kati ya wabunge kwa matusi na kupiga mikono, bunge la Iraq liliidhinisha bajeti ya 2021, ambayo ni sawa na dinari za Iraq trilioni 130 (dolari bilioni 89.65), Iraq inategemea katika bajeti yake mafuta ambayo inayasafirisha nje.
Wiki chache zilizopita, Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan kwenye Mazungumzo ya Usalama ya Islamabad: Pamoja kwa Mawazo 2021 alisisitiza haja ya muundo mpya wa usalama unaojulikana kama muundo mpana wa usalama.
Vichwa Vikuu vya Toleo 333