Mshikamano Pamoja na Waislamu wa Kashmir Inayokaliwa Unahitaji Uhamasishaji wa Khaleefah Rashid wa Majeshi Yetu Matukufu
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Siku ya Mshikamano na Kashmir ya mwaka huu, 5 Februari, inaangukia katika hali mbaya ya mambo, ambapo ni lazima tutimize wajibu wetu kwa Mwenyezi Mungu (swt).