Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 322
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 322
Vichwa Vikuu vya Toleo 322
Afisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir / Wilayah Tunisia inaomboleza kwa Ummah wa Kiislamu kwa jumla na kwa watu wa Tunisia haswa, mbebaji ulinganizi msafi, mcha Mungu, mmiliki wa tabia ya hali ya juu na fikra angavu,
Baada ya mashambulizi ya fujo kwenye Makao ya Serikali ya Amerika (US Capitol Hill), wito wa mashtaka kwa Trump na kutaka ajiuzulu umepamba moto kote katika jamii ya Wamarekani.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Lebanon, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Mawasiliano, Dkt. Muhammad Jaber, na wanachama walijumuisha Mhandisi Salah al-Din Adada,
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed alizima mitandao mnamo Jumatano, 4 Novemba 2020 wakati alipozindua mashambulizi katika eneo la kaskazini la Tigray.
Afisa wa afya katika mji wa Al-Anad-Tuban, mkoa wa Lahj, alielezea kuwa kituo cha afya jijini humo kimepokea watoto wengi wenye ugonjwa wa ngozi, ambao ulisababisha hali ya hofu na wasiwasi miongoni mwa familia.
Podcast ya Sauti ya Ummah
Uasi wiki hii huko Washington DC ndio ishara ya hivi karibuni ya machafuko ya kisiasa Magharibi.
Nchini Canada, wanawake wawili wa Kiislamu wamejadili shambulizi kali lililofanywa dhidi yao na wanaume wawili.
Katika miezi ya hivi karibuni, idadi ya mauaji, mabomu, milipuko, mashambulizi ya makombora na mashambulizi ya ovyo ovyo katika miji na vijiji vya Afghanistan yameongezeka sana, ambayo yalisababisha kuuawa kwa maimamu wa misikiti, viongozi wenye ushawishi,