Ijumaa, 23 Muharram 1447 | 2025/07/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Dola ya Kibaniani kwa Ujasiri Imevihamisha Vikosi Hadi Mpaka Wake na China, Ikiwa na Hakika kuwa Watawala wa Sasa wa Pakistan Kamwe Hawatapigana Kuikomboa Kashmir Iliyokaliwa

Mnamo 28 Juni 2021, Bloomberg iliripoti kwamba India imeelekeza angalau vikosi 50,000 vya ziada mpakani mwake na China, na kuongeza uwepo wa askari huko hadi 200,000, juu na zaidi ya asilimia 40 kutoka mwaka jana, katika mabadiliko ya kihistoria katika msimamo wa kijeshi wa kiushambulizi.

Soma zaidi...

Kuuawa kwa Mbebaji Ulinganizi Mkweli Omar Faruq ni Onyo Dhahiri kwa Ummah kwamba Uislamu na Waislamu Daima Watabaki bila ya Ulinzi chini ya Watawala wa Kisekula

Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh inatoa rambi rambi zake za dhati kwa Waislamu waliofiwa wa wilaya ya mbali ya milima ya Bandarban ya Bangladesh ambao wamempoteza kiongozi wao mhamasishaji Omar Faruk Tripura, Mwislamu mwenye umri wa miaka 55 aliyeuawa mbele ya nyumba yake kama shahidi (inshaAllah) mikononi mwa maadui wa Uislamu.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu