Jibu la Swali: Upeo na Umuhimu wa Muungano wa Kijeshi wa Amerika na Uingereza na Australia
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni upi upeo na umuhimu wa muungano wa kijeshi wa Amerika na Uingereza na Australia? Je! Umeelekezwa dhidi ya China? Au ni kichapo cha Uingereza na Amerika kwa Ufaransa baada ya kuharibu ushawishi wa Uingereza nchini Tunisia, na baada ya wafuasi wake kugeuka dhidi ya mawakala wa Amerika nchini Guinea, na baada ya juhudi za Ufaransa kujenga nguvu ya Ulaya ilio huru na Amerika?



