Australia: Hotuba ya Ijumaa “Kukumbuka Mauaji ya Halaiki ya Waislamu”
- Imepeperushwa katika Australia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Iliyotolewa na Ismail Al-Wahwah (Abu Anas)
Iliyotolewa na Ismail Al-Wahwah (Abu Anas)
Kumbukumbu ya maumivu inapita siku hizi, ambayo ni kumbukumbu ya kuvunjwa kwa Khilafah kupitia mhalifu wa karne hii, Mustafa Kemal, tarehe ishirini na nane Rajab 1342 H, sawia na Machi 3, 1924 M.
Kituo cha Televisheni ya Denmark TV2 kilichapisha makala mnamo Januari 15 kwa kichwa: “Serikali inataka kuzilazimisha manispaa kuwaondoa watoto wanaokulia katika mazingira ya misimamo mikali.”
Katika kujibu shambulizi la kinyama kwa Waislamu wenzetu wa Uighur Mashariki ya Turkistan yaliyo fanywa na serikali ya China, na pia chini ya muongozo wa Mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu al-Rashtah, Amir wa Hizb ut Tahrir, ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Australia ulitembelea Ubalozi wa China uliopo jijini Sydney
Vichwa Vikuu vya Toleo 281
Enyi Maafisa Wenye ikhlasi katika Jeshi, hadi lini mtanyamaza Kimya dhidi ya unyama huu kwa Ummah wa Kiislamu! Chukueni msimamo wenu katika upande wa Waislamu. Ipeni Nusra Hizb ut Tahrir kwa ajili ya Kusimamisha Tena Khilafah.
Sheria yawamwajibisha mwajiri kujifunga na sheria zinazo husiana na wafanyikazi na haki zao, lakini mwajiri anakwepa kutii sheria hiyo.
Hizb ut Tahrir /Crimea iliadhimisha wakati kampeni hii ya kilimwengu. Sifa Njema zote anastahiki Mwenyezi Mungu (swt).
Kutokana na hali ya sasa ya Covid-19, inaonekana kuna mkazo mkubwa juu ya kuhifadhi uchumi kuliko kuhifadhi maisha, ambapo Hazina ya Taifa kwa sasa inajaza matrilioni ya dolari ili kuhakikisha uchumi unabakia laini.
Katika Kielelezo cha Katiba, Kifungu cha 21, tumesema: "Na neno kundi hapa ni jina la aina, kwa maana nyengine, neno kundi hutumika na lile linalo kusudiwa kwalo ni aina …"