Indonesia: Amali za Umma Mbele ya Ubalozi wa Ufaransa Kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu!
- Imepeperushwa katika Indonesia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut tahrir / Indonesia iliandaa matukio mengi ya umma kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)
Hizb ut tahrir / Indonesia iliandaa matukio mengi ya umma kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)
Uthibitisho kwa ulimwengu kwamba usawazishaji mahusiano ni usawazishaji wa watawala na sio usawazishaji wa watu, na kukataa watawala wa Ruwaibidha,
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 50 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Halaiki ya watu wa mji wa Armanaz viungani mwa Idlib ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).
Halaiki ya watu wa mji wa Tel Karameh viungani mwa Idlib ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).
Halaiki ya watu wa mji wa Deir Hassan viungani mwa Idlib ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).
Halaiki ya watu wa mji wa Kafra viungani mwa Aleppo Kaskazini ilijitokeza katika kisimamo cha kulaani cha kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).
Halaiki ya watu wa kijiji cha Felon ilijitokeza katika maandamano ya usiku kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) chini ya anwani: "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu".
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) iliandaa msururu wa maandamano ya umma kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu Mtukufu (saw), na kupinga matusi ya wakoloni makafiri chini ya kaulimbiu:
Halaiki ya watu wa mji wa Idlib iliandaa maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) chini ya anwani "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu".