Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 290
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 290
Vichwa Vikuu vya Toleo 290
Mamluki 1200 wa Urusi wanapigana upande wa Haftar nchini Libya
Baada ya hukumu ya mahakama ya kijeshi dhidi ya Mkuu wa Afisi ya Kisiasa ya Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia Ustaadh Abdel Raouf Amiri kutokana na suala la kusambaza taarifa kwa vyombo vya habari zinazohusu ziara ya Wazayuni mjini Djerba na ulinzi wa usalama na jeshi…
2019 – 2020 umekuwa ni mwaka mwengine wa mateso kwa Ummah wa Kiislamu.
Wacha Silaha Zetu za Nyuklia ziwe Nyenzo za Kulinda Bara yetu wakati Simba wa vikosi vya Majeshi yetu Wakiikomboa Kashmir iliyo kaliwa
Janga la virusi vya Korona limeutingisha ulimwengu, kusitisha shughuli zake na kuwaacha wanasiasa wake katika mshangao na mashaka.
“Ni zipi sababu za kufunga Misikiti ya Mwenyezi Mungu ambapo tunaswali na kuinua mikono yetu kuomba janga hili la maambukizi limalizike?!”
Mkuu wa serikali ya Kiyahudi, na waziri wake wa zamani wa jeshi, mhalifu Ehud Barak amekiri kwamba moja ya malengo ya Oparesheni ya 1982 ya kuivamia Lebanon na kubakia kusini mwake hadi mwaka wa 2000, yaani, hata baada ya Yasser Arafat kuondoka Lebanon, ilikuwa ni uwepo wa wakimbizi Palestina nchini Lebanon.
Kwa kuamini Qadhaa na Qadari ya Mwenyezi Mungu, tunaomboleza kwa huzuni kubwa kwa Ummah wa Kiislamu kifo cha mmoja wa wanachama wetu, Ndugu Mirzakhanov Mirzabharum, Mwenyezi Mungu (swt) amrehemu, aliyefariki kwenda kwenye rehema za Mwenyezi Mungu siku ya Jumatatu, tarehe 18/5/2020.
Kalima ya Ustadh Tariq Raafi' mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia mbele ya Msikiti wa Swahaba Mtukufu Abu Lababah al-Answari Kuhusu Mipangalio ya Wizara ya Masuala ya Kidini nchini Tunisia iliyo lazimishwa juu ya Nyumba za Mwenyezi Mungu ambapo alielezea kuwa Swala ya Jamaa ni miongoni mwa nembo zilizo fungwa kisheria zisizo badilika.