Vichwa vya Habari 14/07/2021
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amewasiliana na kiongozi mpya mwenza wa ‘Israel’, akimpongeza kwa kuingia madarakani na kumkumbusha umuhimu wa uhusiano wao wa pande mbili. Erdogan alizungumza na Raisi mpya aliyeapishwa wa ‘Israel’ Yitzak Hertzog kupitia njia ya simu mnamo Jumatatu, 12 Julai. Wakati wa maongezi hayo ya simu, Rais wa Uturuki alisema alimsisitiza dori muhimu ambazo ‘Israel’ na Uturuki zinacheza katika kuhakikisha usalama na utulivu Mashariki ya Kati.



