Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 282
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 282
Vichwa Vikuu vya Toleo 282
Mkurupuko wa Covid-19 umeukamata uchumi wa dunia katika hali ngumu yenye kuyumbisha.
Tunaweza kulishinda hili tishio pekee kwa mshikamano. Leo ni siku ya kukumbuka udugu wetu wa milele, kuweka pembeni tofauti zetu zote za kisiasa, kikabila na kimadhehebu.
Hizb ut Tahrir / Uzubekistan nayo ilijitosa katika kampeni hii ya kiulimwengu. Sifa njema zote anastahiki Mwenyezi Mungu (swt).
Hizb ut Tahrir / Wilaya Yemen nayo ilijitosa katika kampeni hii ya kiulimwengu. Sifa njema zote anastahiki Mwenyezi Mungu (swt).
Janga la virusi vya korona ndio janga mbaya zaidi la kiulimwengu tangu Vita vya Pili vya Dunia, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa - Antonio Guterres alisema siku ya Jumanne, akieleza namna janga hilo litakavyochochea mizozo duniani kote.
Hotuba ya kwanza itafichua sera haribifu za Utawala wa Hasina nchini Bangladesh. Nukta muhimu zitakazo gusiwa katika mada ni:
Katika uwezo wake kama wadhifa wa juu, Rais Frank-Walter Steinmeier alichora mipangilio ya sera za kigeni na usalama za Ujerumani.