Ni Nani Atakayeihami Heshima ya Muhammad (saw)? Masekula wenye chuki wanaendelea kupatiliza fursa ya kuwepo na ombwe la uongozi wa kisiasa wa Kiislamu ulimwenguni leo
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kila mara watetezi wa chuki ya usekula hudai haki yao ya kuwatusi Waislamu kupitia uchomaji nakala zilizo chapishwa za Qur'an na kuchapisha vikaragosi vinavyomkejeli Mtume Muhammad (saw).



