Jumapili, 22 Muharram 1446 | 2024/07/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

“Hakika katika hayo upo ukumbusho kwa mwenye moyo au akatega sikio naye yupo anashuhudia.” [Qaf: 37]

Mnamo Jumamosi, 11/11/2023, takriban watawala sitini wa Kiarabu na wasiokuwa wa Kiarabu wa nchi za Waislamu walikutana jijini Riyadh kujadili uvamizi wa Mayahudi dhidi ya Gaza, yaani zaidi ya mwezi mmoja baada ya uvamizi wa Mayahudi kuanza, na baada ya mashahidi zaidi ya elfu kumi na moja na Karibu elfu thelathini kujeruhiwa.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Uswidi: Ikiwa Wewe ni Msaidizi wa Watawala wa Kitwaghut, Basi Wewe sio Miongoni mwa Ummat Muhammad ﷺ!

Kalima ya Ustadh Youssef Ahmed, mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Uswidi, ya kuwanusuru na kuwaombea nusra Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na wito kwa majeshi ya Waislamu kuvunja vizuizi ambavyo watawala wa Ruwaibidha wamewawekea katika kambi zao

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Uswidi: “Na sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka.” [Al-Israa: 81]

Kalima kuhusu mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 35,000, wanaume na wanawake hadi sasa, iliyoandaliwa na kuwasilishwa na Ustadh Dawoud Carlson, mwanachama wa Hizb ut Tahrir nchini Uswidi

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Kisimamo mbele ya Ubalozi wa Marekani “Niko hapa kama Muislamu!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 33,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa amali mbele ya Ubalozi wa Marekani jijini Ankara chini ya kichwa:

“Niko hapa kama Muislamu… Mfurusheni Myahudi Bliken!”

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu