- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Serikali ya Kyrgyz ni Adui wa Wanawake, Adui wa Uislamu
Serikali ya Kyrgyz ni Adui wa Wanawake, Adui wa Uislamu
Mgogoro wa Kiuchumi wa Lebanon
Kyrgyzstan katika juhudi zake za kupambana na ile unayoitwa "misimamo mikali" imepelekea unyanyasaji mbaya kwa miaka mingi.
Serikali ya Kyrgyz kwa Kutapatapa Inajaribu Kulinda Maadili ya Kisekula Kupitia Kuwapiga Vita wale wote Wanaoeneza Fikra za Kiislamu
Katika miaka ya karibuni, Wamagharibi kupitia taasisi za kimataifa zisizo za kibiashara na vyombo vya habari vya mrengo wa Kimagharibi, wameanza kivitendo kutekeleza fikra ya usawa wa kijinsia katika nchi za Asia ya Kati.
Agosti 5, mwaka 2020 ilitimiza mwaka mmoja tokea Modi (Raisi wa India) alipoanza mzingiro kwa Kashmir iliokaliwa kimabavu.
Mwenyezi Mungu ameteremsha Dini tukufu ya Uislamu kwa mwanadamu bora zaidi, Mtume Muhammad (saw). Yeye (swt) amesimamishia utawala kwake (saw) juu ya ardhi.
Tarehe 5 Agosti 2020 inaadhimisha mwaka wa kwanza baada ya kutenguliwa Kifungu cha 370 cha katiba ya India, ambapo Kashmir iliunganishwa rasmi na Muungano wa India.
Tukiwa tumeingia ndani ya mwezi mtukufu wa Dhul-Hijjah tuna kumbushwa juu ya kujitoa muhanga kwa Kipenzi cha Mwenyezi Mungu, Ibrahim (as) alipomuwacha mwanawe na mke wake katika jangwa baina ya Safa na Marwa.
Kwa hakika nyinyi ni Ummah bora miongoni mwa wengine wote, ulioletwa kwa watu, kwa sababu mnashikamana kile ambacho Mwenyezi Mungu ameamrisha na mnakataza kile ambacho Mwenyezi Mungu amekikataza na mna muamini Mwenyezi Mungu (swt).