Pindi Akili Inapokuwa Mtunzi wa Sheria, Taharuki Hutawala
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Miaka mitano iliyopita, Profesa Miroslav Djordjevic, mtaalamu wa upasuaji na urekebishaji viungo vya uzazi anayeongoza duniani, alipokea mgonjwa katika kliniki yake ya Belgrade.



