Zawadi Kubwa Zaidi ya Rabi Ul-Awwal: Rehma kwa Walimwengu Wote, Muhammad (Saw)
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwezi wa Rabi ul-Awwal ni mwezi wenye umuhimu mkubwa kwa Ummah wa Sayyidna Muhammad (saw). Sio tu Rabi ul-Awwal unashuhudia zawadi kwa uzawa wa Muhammad (saw), bali umeshuhudia kuja kwake (saw) katika utawala, kupitia Hijrah ambayo imemuweka (saw) kuwa ni mtawala wa Madinah.