Vita vya Afghanistan: Kutoka Kwenye Uongo wa Ubabaishi Hadi Kwenye Ukweli wa Wazi!
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika hotuba yake ya kwanza kwenye kikao cha pamoja cha bunge la Congress, Rais wa Amerika Joe Biden alihutubia kwamba: “Vita nchini Afghanistan havikukusudiwa kamwe kuwa mpango wa vizazi vingi wa ujenzi wa taifa.