Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan Kikao cha Kadhia za Ummah: Usaidizi wa Bidhaa na Huduma Baina ya Ukusanyaji na Uchungaji
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ilifanya kikao chake cha kila mara cha Kadhia za Umma kwa anwani "Usaidizi wa Bidhaa na Huduma Baina ya Ukusanyaji na Uchungaji" mnamo Jumamosi, 1 Rabi' Al-Awwal 1442 H sawia na 17/10/2020 – saa tano asubuhi.