Serikali Dhaifu na ya Khiyana ya Hasina Inavunja Shajaa ya Jeshi la Bangladesh kwa jina la Mazoezi ya Pamoja na Dola Adui ya India.
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Bangladesh na India zimeanza mazoezi ya siku tatu ya majini katika Ghuba ya Bengal kaskazini mnamo Jumamosi, kulingana na vyanzo vya kidiplomasia na ulinzi