Uadilifu wa Kweli Ni Kuliondoa Umbile Vamizi la Kiyahudi
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imekataa pingamizi dhidi ya 'uamuzi wa kutoihukumu 'Israel' uliochukuliwa na Afisi ya Mashtaka kuhusiana na meli ya Mavi Marmara ambayo Waturuki 9 waliuwawa.