Uislamu Haupaswi Kutumiwa Kufanya Kazi ya Serikali
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Serikali ya Uganda ina sera mpya ya kukabiliana na ufisadi kwa kuwafanya watoto kupeleleza familia zao.
Serikali ya Uganda ina sera mpya ya kukabiliana na ufisadi kwa kuwafanya watoto kupeleleza familia zao.
Mnamo tarehe 19 Oktoba 2021, BBC iliripoti kwamba shambulizi la anga katika mji wa Tigray nchini Ethiopia liliua raia.
Mnamo tarehe 12 Oktoba 2021, BBC iliripoti kuhusu Mkutano wa G20 wa nchi zenye uchumi mkubwa ambao umeahidi kusaidia Afghanistan kwa msaada wa mabilioni ya dolari ili kuepusha janga kubwa.
Mnamo tarehe 10 Oktoba 2021, Waziri Mkuu Imran Khan alitangaza kuanzishwa kwa Mamlaka ya Rehmatul-lil-Alameen (Rehema kwa Wanadamu) nchini ili kuhakikisha utekabikishaji wa mafundisho ya Mtume Mtukufu (saw) katika jamii.
Siku ya alkhamis 07/10/2021 Profesa mstaafu wa lugha ya Kiingereza na fasihi baada ya ukoloni na mwandishi wa riwaya Abdulrazak Gurnah alishinda tuzo ya Nobel katika fasihi yenye thamani ya medali ya dhahabu na pesa milioni 10 krona za Uswidi (dolari milioni 1.14)
Makala mawili wiki hii kutoka kwa Independent kila moja inatoa mwangaza kwa njia tofauti juu ya wapi Amerika inaelekea kisayansi.
Mnamo tarehe 13/10/2021, RFE / RL ilichapisha yafuatayo: “Mnamo Oktoba 13, Tume ya Amerika ya Uhuru wa Kidini wa Kimataifa (USCIRF) ilichapisha ripoti yake ya mara kwa mara juu ya Uzbekistan.
Ripoti ya kila mwaka ya Idadi ya Watu kwa Ufupi ilionyesha idadi jumla ya watu kufikia Juni ilipungua kwa mwaka wa pili mfululizo, hadi milioni 5.45 - ikishuka kwa asilimia 4.1 punguo kubwa zaidi la mwaka kwa mwaka tangu 1950.
Vyombo vya habari nchini Kenya vimeripoti kwamba Hakimu wa Mahakama Kuu, Teresia Matheka ametangaza kwamba kuwa mke nyumbani lazima izingatiwe kuwa ni kazi kamili yenye kustahili malipo. Hakimu alisema:
Maadhimisho ya Vita vya Haifa yaliadhimishwa mnamo 23 Septemba nchini India na 'Israel'. Kila mwaka katika siku hii, maafisa wa India hutoa heshima kwa wanajeshi wao waliopigana na kuishinda Khilafah Uthmani.