Mfumko wa Bei Wawaacha Wanawake Waislamu nchini India Kutelekezwa katika Mgogoro Hatari wa Kiafya
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 14 Mei, gazeti la Times la India lilichapisha ripoti kuhusiana na jinsi viwango vya mfumko wa bei vimeathiri pakubwa maisha ya kiuchumi ya wanawake wa Kiislamu na kuwaacha katika hatari ya matatizo makubwa ya kiafya.