Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 482
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika mwezi wa Rajab Tukufu mwaka huu, 1445 H - 2024 M, inarudi kwetu kumbukumbu ya uchungu ya miaka 103 H na 100 M ya kuvunjwa kwa dola ya Kiislamu na wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, ambayo iliasisiwa na Bwana wa Mitume Muhammad (saw), na maswahaba zake watukufu (ra), na kuondolewa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu mwaka 1342 H, sawia na 03/03/1924 M, na ardhi iliyobarikiwa (Palestina) ilipotea kwa kupotea Imam ambaye ni ngao, Khalifa wa Waislamu ambaye kwaye wanapigana nyuma yake na kujihami..
Hizb ut Tahrir/Amerika inaandaa Kongamano la kila mwaka la Khilafah kwa mwaka huu wa 2024 chini ya kichwa:
“Gaza: Migogoro na Suluhisho - Dori ya Waislamu wa Amerika”
Katika matangazo ya moja kwa moja kwenye Chaneli ya Al Jazeera mnamo Jumatatu asubuhi, Februari 12, 2024, msemaji wa Wizara ya Afya, Ashraf al-Qudra, alizungumza na Al Jazeera akielezea uharibifu uliotokea huko Rafah na nyumba zilizolipuliwa, ambazo zilikuwa zinakaliwa na wakaazi na watu waliohamishwa makao yao.
Maoni ya habari ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan.
Kwa Mabadiliko ya Kweli… Kataeni demokrasia... Simamisheni Khilafah.
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali ya kusoma taarifa kwa vyombo vya habari na maandamano ya kulaani mbele ya ubalozi wa Misri katika mji wa Istanbul kwa kichwa:
“Wito kutoka Istanbul kwenda Misri: Fungueni Lango la Rafah!”
Kalima iliyotolewa na Ustadh Ali Al-Bakri wakati wa kisimamo kilichoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria siku ya Ijumaa “Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni Mlinzi, na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni Mwenye Kukunusuruni” katika mji wa Kafra – viungani mwa kaskazini mwa Aleppo.
Katika taarifa yake katika hafla ya kuhitimu kwa maafisa wa kidini na Uongozi wa Chuo cha Masuala ya Kidini, Rais Recep Tayyip Erdogan alisema yafuatayo: "Tunaona kwamba kampeni ya pande mbili inafanywa dhidi ya Uturuki na duru zinazoichukia Uturuki katika siku za hivi karibuni.
Nchini Pakistan, chaguzi za hivi majuzi chini ya Demokrasia zilithibitisha kuwa hazileti mabadiliko. Dola za Magharibi na vibaraka wao hawataki mabadiliko. Watakwenda urefu wowote ili kuyazuia. Watu wamechanganyikiwa na wana hasira.
Maoni ya habari ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan.
Kwa Mabadiliko ya Kweli… Kataeni demokrasia... Simamisheni Khilafah.