Kutoka Tunisia hadi Kimbunga cha Al-Aqsa Mapinduzi ya Umma Yataendelea Hadi Khilafah Isimame na Ukombozi wa Palestina
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Leo tunaadhimisha kumbukumbu ya Januari 14, ambayo ilisababisha Mapinduzi ya Umma na kupindua watawala wenye nguvu zaidi katika kanda hii. Ilikuwa fursa ya kihistoria ya kukombolewa kutokana na ushawishi wa Magharibi na ala zake za kindani.



