Jumanne, 27 Shawwal 1447 | 2026/04/14
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir Inalipa Gharama ya Kutetea Masuala ya Ummah na Kutoa Wito kwa Majeshi yake Kuwanusuru Watu wa Gaza

Mnamo Ijumaa, Januari 19, 2024, Uingereza ilipiga marufuku rasmi Hizb ut Tahrir, ikiituhumu kwa chuki dhidi ya Mayahudi na kuunga mkono shambulizi la Hamas mnamo Oktoba 7, 2023, dhidi ya umbile la Kiyahudi. Iliiongeza Hizb kwenye orodha yake ya mashirika yaliyoainishwa kama mashirika ya kigaidi.

Soma zaidi...

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza Inataka Kuipiga Marufuku Hizb ut Tahrir

 Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza James Cleverly alitangaza kupiga marufuku Hizb ut-Tahrir, akilitaja kama shirika la kigaidi. Alisema kuwa Hizb ina chuki dhidi ya Mayahudi kwa vile ilisherehekea mashambulizi ya Hamas huko Gaza dhidi ya ‘Israel’ mnamo Oktoba 7. Alisema kwamba Hizb iliwasifu Hamas kama mashujaa na kwamba hatua hiyo inashajiisha ugaidi.

Soma zaidi...

Miaka 60 ya ‘Mapinduzi’ ya Zanzibar: Kuna Chochote cha Kusherehekea?

Januari 12, 2024 kile kinachoitwa “mapinduzi” ya Zanzibar yalifikisha miaka sitini tangu yalipotokea Januari 12, 1964. Baada ya miaka mingi kupita, swali muhimu linabaki: Je, cha kusherehekea, ukiachilia mbali wanasiasa na wachache katika “familia za wanamapinduzi” je watu wa kawaida wana kitu cha kusherehekea?!

Soma zaidi...

Kauli Mbiu Tupu na Miito ya Faragha

Wakati wa simu ya faragha kati ya Benjamin Netanyahu na Joe Biden, Netanyahu alisisitiza maoni yake ya awali kuhusu kukataa wazo la kuunda dola ya Palestina. Netanyahu amesema hivi karibuni, “Sitalegeza msimamo juu ya udhibiti kamili wa usalama wa 'Israel' kwenye eneo lote la magharibi mwa Mto Jordan - na hili linaenda kinyume na dola ya Palestina.”

Soma zaidi...

Uingereza, kwa Chuki zake dhidi ya Uislamu na Waislamu, Yauita Ulinganizi Wetu wa Kuinusuru Gaza kuwa ni Ugaidi, huku Mikono yao Ikichuruzika Damu yetu, na Wanashindwa Kuuona Ukatili wao Wenyewe kama Ugaidi!

Bunge la Uingereza limeidhinisha mipango ya kuliainisha Kundi la Kisiasa la Kiislamu Hizb ut Tahrir kama kundi la kigaidi. Hatua hii inajiri kufuatia ushiriki wa kundi hili katika kuandaa maandamano jijini London, hasa sambamba na maandamano ya waungaji mkono wa Palestina wakati wa mzozo kati ya ‘Israel’ na Hamas.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu