Ijumaa, 11 Dhu al-Qi'dah 1446 | 2025/05/09
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kuna Tatizo Gani Sabah?

Jana (26 Septemba 2020) jimbo la Borneo la Sabah lilionekana likienda katika upigaji kura. Matokeo rasmi ya uchaguzi wa 16 wa jimbo la Sabah yanashuhudia muungano wa Gabungan Rakyat Sabah (GRS) ukishinda kwa idadi kubwa ya viti 38 dhidi ya viti vya Warisan Plus' 32 huku wagombeaji huru wakibeba viti vitatu vilivyobaki.

Soma zaidi...

Upigaji Marufuku wa Usafirishaji Nje Vitunguu Nchini India Umefichua Maumbile Halisi ya Watawala wa Kisekula wa Bangladesh Ambao Hawaoni Aibu Kujifanya kama Vinywa vya Washirikina Maadui.

Wakati ambapo India imeweka marufuku ya ghafla kwa usafirishaji wake wa kitunguu kwenda Bangladesh, watawala wetu wa vibaraka wamekuja kuokoa sura ya adui huyu mshirikina kwa kujifanya kama mdomo wake.

Soma zaidi...

Wazimu wa Wanasiasa wa Kifaransa kwa Hijab Unajumuisha Hofu ya Uislamu na Kasumba ya Usekula

Siku ya Alhamisi Septemba 17, wabunge wa Ufaransa kwa mara nyengine tena waliweka wazi ubaguzi wa rangi, dhidi ya Uislamu, wa serikali ya kisekula uliokithiri nchini Ufaransa kwa upande wa kutoka bila sababu katika kikao cha uchunguzi kilichofanyika katika Bunge la Ufaransa,

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu