Uhakiki wa Habari: 17/04/2021
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wiki hii Rais wa Amerika Joe Biden ametangaza kwamba hatarudisha nyuma uamuzi wa mtangulizi wake wa kuondoa majeshi kutoka nchini Afghanistan lakini atachelewesha hilo hadi kufikia tarehe 11 Septemba 2021, tarehe hiyo itakuwa ni sawa na kufikisha miaka 20 tangu kutokea mashambulizi ya 9/11 ambayo ndio sababu kuu ya kuivamia Afghanistan.