Vichwa Vya Habari 04/08/2021
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika kukabiliana na mafanikio ya hivi karibuni ya Taliban kuichukua miji mikubwa ya Afghanistan, Amerika imefanya mfululizo wa mashambulizi, yanayooneka kutoa matumaini ya kupunguza mashambulizi na kutoa muda kwa serikali ya Afghan kujibu mashambulizi hayo.



