Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 310
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 310
Vichwa Vikuu vya Toleo 310
Uislamu Umejengwa Juu ya Fikra Angavu na Hatupaswi Kukubali Chochote Kutoka kwa Watawala Wetu Kinyume na Hivi
Urasilimali Unafeli kwa Kila Kipimo: Ni Wakati Sasa wa Uchumi Mpya
Kamati ya Utendaji ya Kazan imefutilia mbali ruhusa ya Kituo cha Umma cha Tatar (ATPC) kufanya mnamo Oktoba 18 mkutano wa hadhara katika bustani ya Tinchurin kwenye hafla ya "Hәter kөne" - siku ya kila mwaka ya ukumbusho wa watetezi wa Kazan waliokufa kutoka kwa vikosi vya Kutisha vya Ivan mnamo 1552.
Watawala wa Sudan walijiunga na treni ya usaliti, baada ya kukubali rasmi kuanza hatua kuelekea usawazishaji wa mahusiano na umbile la Kiyahudi, kufuatia mazungumzo ya watu wanne ambayo yaliwakutanisha Al-Burhan
Kuna ombwe kubwa la kimfumo kote duniani, ambalo linadhihirika kwa Wamagharibi, kwa kiasi kikubwa kama ilivyo ndani ya ulimwengu wa Kiislamu, ikiwemo Pakistan.
Kwa kiburi chake cha kawaida, Rais wa Amerika Donald Trump alitangaza kwamba Sudan na umbile la Kiyahudi wamekubali kusawazisha mahusiano.
“Itawafikia hao walio kosa udhalili na adhabu kali kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa sababu ya vitimbi walivyo kuwa wakivifanya
Runinga ya Uzbek ilitangaza kipindi mnamo 17/10/2020 kwa jina "Hatima ya Wasio na Shukrani", ambacho ni ripoti ya habari inayozungumzia juu ya Mashababu wa Hizb ut Tahrir ambao walikaa gerezani miaka 18
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan iligawanya toleo katika mji mkuu, Khartoum, na miji mingi ya Sudan, mnamo Jumanne 13/10/2020, na toleo hilo lilikuwa na anwani: