Uingereza: Kongamano la Kila Mwaka "Kurudi kwa Mfumo wa Kiulimwengu wa Kiislamu"
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Uingereza: Kongamano la Kila Mwaka "Kurudi kwa Mfumo wa Kiulimwengu wa Kiislamu"
Uingereza: Kongamano la Kila Mwaka "Kurudi kwa Mfumo wa Kiulimwengu wa Kiislamu"
Vedat Kurnaz alijitolea maisha yake kama Muislamu mwenye ikhlasi na mwaminifu aliyefanya kazi ya kuregesha tena maisha kamili ya Kiislamu,
Kalima ya Ustadh Nijmadeen Chaiben, Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia Kuhusu Makubaliano ya Khiyana ya Kijeshi Baina ya Tunisia na Amerika.
Vichwa Vikuu vya Toleo 308
Mimbari ya kila wiki ya Mashababu wa Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan – eneo la Omdurman, Kaskazini – ilifanywa mnamo siku ya Ijumaa Oktoba 2, 2020, katika Soko la Sabreen chini ya anwani: "Wimbi la Usawazishaji Mahusiano … Je, watawala wa Sudan watajiunga na kundi la wanaodhihirisha khiyana kubwa?"
Shekhe wetu mkubwa, Mwenyezi Mungu azibariki juhudi zenu, aziongoze hatua zenu, akupeni kilicho bora zaidi, akudhalilishieni magumu, na atupe nguvu ya nusra ya dini yake.
Katika zama zetu, kujitolea kwa maswala ya kifamilia, uzazi, masomo, taaluma, au biashara huja kabla ya kujitolea kwa majukumu yetu ya Kiislamu kwa jamii ya Kiislamu (jamaa’ah) na Dini.
Vichwa Vikuu vya Toleo 307
'Uislamu ni dini iliyo kwenye mgogoro kote ulimwenguni leo', anasema Macron, huku akizindua mpango wa kuuhami usekula. (Chanzo: Al Jazeera Na Mashirika ya Habari)
Msamaha wa kusimamisha kazi nchini India kwa sababu ya 'uwindaji wa serikali'. Mamlaka zafunga akaunti za benki baada ya kukashifiwa kwa rekodi ya haki za binadamu ya serikali.