Jumamosi, 21 Muharram 1446 | 2024/07/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Uamuzi wa Kuwasamehe Watu Wote Nakith (aliye vunja kiapo), Tarik (aliye ondoka chamani), Mu’akab (aliye adhibiwa)

UamuNimepokea risala nyingi kutoka kwa baadhi ya ndugu zetu wakiniomba kuzingatia upya (uamuzi) juu ya watu wote walio vunja kiapo (Nakith), walio ondoka chamani, au wanao adhibiwa tangu kuasisiwa kwa chama hiki mnamo 1372 H – 1953 M na kuwasamehe watu wanao stahiki kusamehewa; kwa kuwapa fursa mpya ya kubeba ulinganizi huu, huenda wale watakao pewa fursa hiyo wakaitumia vizuri ili wakakutane na Mwenyezi Mungu hali ya kuwa ni wasafi na wenye ikhlasi, na yeyote atakaye samehe …

Soma zaidi...

Risala Kutoka kwa Mwanachuoni Mkubwa Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah Katika Siku Kuu ya Idd ul-Adha Yenye Baraka ya Mwaka 1439 H Ikiafikiana na Mwaka 2018 M

HotubKwa wabebaji ulinganizi, Mashabaab na Mashabaat wa Hizb ut Tahrir, wabebaji ulinganizi wasafi na wachaMungu, ingawa hatumtakasi yeyote mbele ya Mwenyezi Mungu, wale wanaozungumza maneno ya kheri na kutenda vitendo vyema, na kisha kama natija yake Mwenyezi Mungu akawasifu wale wenye sifa hizi:

Soma zaidi...

Risala Kutoka kwa Mwanachuoni Mkubwa Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah Katika Siku Kuu ya Idd ul-Adha Yenye Baraka ya Mwaka 1440 H Ikiafikiana na Mwaka 2019 M

Assalamu Alaikum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh, Mwenyezi Mungu aukubali utiifu wenu, na Mwenyezi Mungu aifanye Idd yenu ijae kheri na baraka. Mwenyezi Mungu aikubali Hajj ya waliohiji, na Mwenyezi Mungu aifanye iwe Hajj iliyo kubaliwa, na juhudi zilizo pokewa na dhambi zilizo samehewa.

Soma zaidi...

Fikra ya Hizb ut Tahrir

Fikra ambayo juu yake imebuniwa Hizb ut Tahrir, inayo wasilishwa katika wanachama wake na ambayo inafanya kazi kuuyeyusha Umma kwayo, ili uichukue kama kadhia yake, ni fikra ya Kiislamu, yaani, ‘Aqeedah ya Kiislamu pamoja na sheria zinazotokamana nayo na fikra zilizo jengwa juu yake.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu