Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 280
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 280
Vichwa Vikuu vya Toleo 280
Mfumo wa kibepari uliojengwa juu ya itikadi ya kisekula unafichuliwa na janga la virusi vya Korona.
Kilio kutoka kwa wanawake na wake wanao walilia waume zao kuwekwa vizuizini na majeshi ya usalama ya makao makuu ya ukombozi wa Al-Sham ambao walikamatwa baada ya kuzuiwa kufanya maandamano yaliyo ratibiwa na Hizb ut Tahrir / Wilaya ya Syria katika Jiji la Idlib.
Hizb ut Tahrir / Uholanzi imefanya msururu wa matukio kufuatia muongozo wa Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni mkubwa, At Bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amuhifadhi, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu ikifanywa na Hizb ut Tahrir katika kumbukumbu ya 99 ya Kuanguka kwa Khilafah 1441 H - 2020 M.
Chini ya muongozo wa Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amuhifadhi, Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu katika kumbukumbu ya 99 ya Kuanguka kwa Khilafah.
Katika Makala yangu yaliyopita, niliandika kuwa, "nidhamu yote ya kimataifa imetambua kufeli kwake katika kupigana na kiumbe kidogo zaidi ardhini na kumuacha mwanadamu kukabili kifo chake huku akiwa katika hali ya vishindo.
Siku chache zilizopita, Waziri Mkuu wa Denmark, Mette Frederiksen, alikuwa kwenye ziara rasmi katika Palestina iliyo vamiwa.
China ilitangaza kwa mara ya kwanza mnamo 4/12020, hususan jijini Wuhan, kuwa watu kadhaa waliambukizwa na maradhi ya virusi vya Korona, yaliopewa lakabu ya COVID-19, kisha yakaenea takriban katika nchi zote za ulimwengu, na nchi nyingi zikalazimisha kufungwa kwa mipaka na marufuku ya kutoka nje usiku, na kisha zikasitisha swala za Ijumaa na jamaa.
Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu ya ukumbusho wa 99 Hijria wa Kuanguka kwa Khilafah mnamo 28 mwezi mtukufu wa Rajab 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M.
Kikao cha kipekee kwenye Runinga ya Al-Waqiyah