Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 286
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 286
Vichwa Vikuu vya Toleo 286
Kongamano la Waandishi wa Habari Lililo Fanywa na Hizb ut Tahrir - Yemen
Kamati Kuu ya Dharura za Kiafya imeamua kutekeleza amri ya kutotoka nje katika jimbo la Khartoum, kuanzia Jumamosi ijayo kwa mda wa wiki tatu.
Kifo na mwisho wa maisha haya imekuwa ni kitu kisicho cha maumbile na kiko mbali.
Funzo moja muhimu ambalo virusi vya Korona vimeifunza dunia, ni kuwa mmoja ya mkaazi wake mdogo kabisa ameweza kuvuruga maisha kama tunavyo yafahamu.
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume Sehemu ya 46
Wilaya Tunisia: Kisimamo katika Mji Mkuu wa Tunisia Kukemea Kufungwa kwa Misikiti!
Mnamo tarehe 11 Mei 2020 M, ilisadifu kuwa ni kumbukumbu ya nane ya kutekwa nyara Naveed Butt, Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, ukamataji wake ulitimia katika korokoro za siri za ukandamizaji za vyombo vya usalama.
Mnamo 11 Mei, itakuwa ni miaka minane tangu Naveed Butt, Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan kutekwa nyara na kuzuiliwa katika kifungo kisicho halali katika Uislamu, ndani ya korokoro za siri za ukandamizaji za vyombo vya usalama.
KUPIGWA MARUFUKU NIQAB UFARANSA