Serikali ya Kiislamu Inakuwa Vipi?
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hadi katikati mwa karne ya kumi na nane, Uislamu ulikuwa kama mti mzuri wenye matawi imara ya kijani yaliyostawi ambayo huzaa matunda muda wote wa mwaka.
Hadi katikati mwa karne ya kumi na nane, Uislamu ulikuwa kama mti mzuri wenye matawi imara ya kijani yaliyostawi ambayo huzaa matunda muda wote wa mwaka.
Mnamo miaka ya 90 ya karne ya 20, wakati serikali kuu ya Urusi ilipokuwa dhaifu, kwa ajili ya kuihifadhi serikali hiyo, ilitengeneza maridhiano mengi na umma na viongozi wa nchi za “jamhuri” na “tawala huru”, kwa ukarimu “kuzifadhili” kwa “mamlaka” bandia ili kuhifadhi nguvu zake juu yao.
Vipindi vya televisheni vya Amerika na maigizo ya tamthilia, mwanzoni vilionekana kama vitu visivyo na madhara katika kujiburudisha.
Kongamano kubwa la kimataifa la hali ya hewa la COP26 lilidumu kwa wiki mbili huko Glasgow nchini Uingereza.
Mfumo wa Kirasilimali unaotawala dunia nzima leo ingawa unapiga domo tupu kuhusu kuyajali mazingira kiuhalisia unalenga kuongeza uzalishaji na kuwatajirisha kipote cha mabwenyenye wachache kwa gharama yoyote ile.
Ni kongamano la 26! Kongamano hilo, ambalo lilifanyika Januari 31, 2021, linamaanisha kuwa kulikuweko na makongamano mengine 25 ya hali ya hewa yaliyotangulia, lakini hayakuleta matokeo ya maana.
COP26 itazihimiza nchi 195 kutekeleza ahadi walizotoa walipokuwa wakikubaliana juu ya Mkataba wa Paris wakati wa COP21 mwaka 2015.
Kongamano la Umoja wa Mataifa la Mabadiliko ya Hali ya Hewa la COP26 linajadiliwa kwa mapana na marefu, huku wachambuzi wakikisia juu ya mafanikio yanayoweza kupatikana na wengine kuutayarisha ulimwengu kwa kongamano jengine la Umoja wa Mataifa lenye kufeli.
Wakati Rais wa Amerika Joe Biden alipokuwa kwenye kampeni mnamo 2020, alisema, "Mabadiliko ya hali ya hewa ndio tishio lililopo kwa wanadamu.Ikiwa hayataangaliwa, yataioka sayari hii.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia Retno Marsudi alisema Amerika imejitolea kutoa msaada wa dolari za Amerika milioni 102 (IDR trilioni 1.44) kwa nchi za ASEAN katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.