Nyinyi ni Ummah Bora
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa zaidi ya karne kumi na tatu, Ulimwengu wa Kiislamu ulishughulikia suala hili.
Kwa zaidi ya karne kumi na tatu, Ulimwengu wa Kiislamu ulishughulikia suala hili.
Khilafah ni Kivuli cha Mwenyezi Mungu (swt) Juu ya Ardhi Ilioleta Faraja Kwa Karne Nyingi Kutokana na Udhalimu na Ni Pekee Itakayoleta Tena Inshaallah
Mamia ya miaka imepita tokea kuvunjwa kwa ngao ya Ummah, Khilafah. Tokea muda huo, makafiri wakoloni wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuzuia kurudi tena kwa Khilafah.
Miaka 100 imepita tokea tarehe 28 Rajab ya 1342 H, ambapo Khilafah ya Uthmaniya, iliokuwa mrithi wa Dola ya Kiislamu iliyoasisiwa na Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika Madinatul Munawwarah, kuvunjwa.
Miaka 100 ya Ufisadi, Mporomoko, Vita, Uharibifu na Tabu
Miaka 100 Tangu Kuvunjwa kwa Khilafah: Unafanya Nini Kuirudisha?
Namna Khilafah Ilivyo Vunjwa kwa Kifupi
Tunasikia, tunasoma na hata kuishi nazo, ni athari za kukosekana kwa Khilafah na dola ya Kiislamu inayohukumu kwa Uislamu.
Tunapoiangalia dunia, tunaona makundi ya nchi washirika yakiwa yanapingana kila moja, na tutashangazwa juu ya tofauti itayokuwepo kama kutakuwa na Dola ya Khilafah katika mchanganyiko huo.
Mwanzoni mwa ujumbe huu kulimaanisha jitihada zisizochoka kwa ajili ya Dini hii. Mwenyezi Mungu (swt) ameteremsha kuhusiana na Sayyidna Muhammad (saw),