Haki Zilizochukuliwa na Madhalimu Hazirejeshwi Kupitia Unyenyekevu
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Haki za Waislamu hazirejeshwi kupitia unyenyekevu, ulegezaji msimamo, diplomasia na mapatano.
Haki za Waislamu hazirejeshwi kupitia unyenyekevu, ulegezaji msimamo, diplomasia na mapatano.
Mwenyezi Mungu (swt) ameteremsha Aya nyingi zinazoelekeza wanaadamu kuzingatia vyote vinavyowazunguka, kufikiria na kuzingatia maumbile yao, kuwa ni tendo la Uumbaji.
Utatanishi ni hali ya kisaikolojia ya mwanadamu ambayo hutokea pindi akili inapokubaliana na mawazo mawili yanayo kinzana kiasi cha kumfanya mtu kukosa utulivu.
Ninaandika kutoka mji mkuu wa India, Delhi ilhali nikiendelea kupata nafuu ya ugonjwa wa Uviko-19. Ni ngumu kuelezea kile tunachokishuhudia ndani ya India. Ugonjwa umeenea hewani na vifo vimetapaka kila mahali.
Serikali ya Chama cha AK imejikita katika mkutano wa Biden-Erdogan utakaofanyika Brussels, ambao Rais Erdogan amekuwa akiungojea kwa miezi kadhaa kwa matumaini makubwa.
Sisi, vijana wa Kiislamu wa Magharibi, tumefanya kila kitu ndani ya uwezo wetu kuzuia uvamizi. Utawaona maelfu ya vijana wa Kiislamu wakilaani, kuandamana, wakitumia majukwaa yao ya mitandao ya kijamii, hata kufikia kufukuzwa mashuleni kwa msimamo wao wa kutoomba radhi.
Wengi wanaendelea kuangalia kwa hofu mauwaji ya watu wengi yanayofanyika Palestina. Kile kilichoanzia Sheikh Jarrah na kuendelea al-Quds kwa kushambuliwa Msikiti wa al-Aqsa kimewashitua wengi duniani kote.
Vikosi kutoka idara ya Huduma za Usalama ya Taifa ya kitengo Maalum cha Huduma cha Urusi vimevamia nyumba ya Ndugu Nabi Rahimov na kisha kumuuwa, kwa madai ya kukataa kukamatwa.
Mwenyezi Mungu amewaneemesha waja wake kwa neema nyingi zisizohesabika, kubwa zaidi ni neema ya Uislamu ambayo kwayo aliukirimu Umma wa Mtume wake mpendwa Muhammad (saw), na ambayo alimteremshia ili kuieneza katika walimwengu kwa uongofu na rehma.
Ramadhan ni mwezi ambao Mwenyezi Mungu (swt) huwawezesha Waislamu kujitafakari wenyewe kama wana wa Adam kwa kutafuta msamaha kutoka kwa Mola wao na kuweza kuwa mmoja wa Wachaji Mungu, kwani Mwenyezi Mungu (swt) anasema,