Tusiwache Kuhangaika Kwetu Kujitafutia Utajiri Kuwe ni Chanzo cha Mateso kwa Ummah Wetu
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika wakati ambapo maadui wa Waislamu wameongeza uadui wao, na Waislamu, kuanzia Masjid al-Aqsa na Syria, mpaka eneo lililokaliwa la Kashmir na Afghanistan, wameongeza kuasi kwao kiungwana, kila afisa wa majeshi yetu ni lazima sasa ajitathmini kwa kina.