Watoto Wauwa Watoto: Shutma Kali kwa Thaqafa ya Kiliberali
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 26 Septemba 2023, wataalamu watatu huru wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa waliripoti kwamba kuna utenganishwaji wa lazima na sera za lugha kwa Uyghur na watoto wengine wa Kiislamu walio wachache katika shule za bweni zinazomilikiwa na serikali katika mkoa wa Xinjiang nchini China, ambapo ni sawa na kuoanishwa kwa lazima ndani ya thaqafa ya Kichina.
Gharama ya mafuta nchini Kenya iligonga rekodi ya juu mnamo Ijumaa (Septemba 15) baada ya mdhibiti wa kawi kurekebisha bei ya pampu, na kuongeza ugumu wa kiuchumi unaowakabili mamilioni ya watu.
Hivi karibuni, suala linalohusisha na mfumo wa sheria wa nchi liligonga vichwa vya habari kwenye vyombo vya habari. Mahakama Kuu ya Malaysia ilitoa ombi kutoka kwa waendesha mashtaka kuondoa mashtaka yote ya ufisadi dhidi ya Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo Ahmad Zahid Hamidi katika kesi yake ya ufisadi wa Wakfu wa Charity.
Waziri Mkuu wa Canada Justin Bwana Trudeau alisema mapema wiki hii kwamba kulikuwa na ushahidi wa kuaminika serikali ya India ilishiriki katika mauaji ya kinyume cha sheria ya raia mmoja wa Canada kwenye ardhi ya Canada, mwanaharakati wa Kikalasinga ambaye India amemtuhumu kwa ugaidi.
ISLAMABAD: Onyo la wazi lilikuja kutoka Benki ya Dunia kabla ya mzunguko mpya wa uchaguzi nchini Pakistan, likisema kwamba Pakistan iko katika mgogoro wake wa hatua ambapo asilimia 40 ya idadi ya watu wanaishi chini ya umaskini.
Mnamo tarehe 16 Septemba Radio Liberty iliripoti: "Kampeni dhidi ya ufugaji ndevu na uvaaji hijab kwa mara nyingine tena imepamba moto nchini Uzbekistan. Picha za video zilizotumwa kwa Ozodlik mnamo tarehe 13 Septemba zinaonyesha wanafunzi wa kike katika Chuo cha Benki huko Andijan, waliovaa hijab, wakiambiwa wafunge hijab zao tofauti, mafundo yakiwa mgongoni.
Kuanzia Septemba 5 hadi 8, 2023 Tanzania ilikuwa mwenyeji wa Mkutano wa 13 wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika. Mkutano huo ulioendeshwa ana kwa ana, na mtandaoni ulikuwa na wazungumzaji zaidi ya 350, zaidi ya wahudhuriaji 3,000 kutoka zaidi ya nchi zaidi 70.
Matumizi ya dawa za mfadhaiko kwa kila mtu nchini Uturuki yaliongezeka kwa asilimia 76 katika kipindi cha miaka 12 iliyopita. Katika miaka 2 iliyopita, mauzo yaliongezeka kwa masanduku milioni 10. Uuzaji wa masanduku milioni 49 na elfu 857 ya dawa za mfadhaiko mnamo 2019 uliongezeka hadi masanduku milioni 54 na elfu 625 mnamo 2020 na masanduku milioni 59 na elfu 641mnamo 2021.
Mnamo tarehe 11 Agosti, shirika la habari la RIA Novosti liliripoti: "Muungano wa gesi tatu wa Urusi, Uzbekistan na Kazakhstan huenda ukapanuliwa ili kujumuisha nchi zengine, Dmitry Birichevsky, mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi, aliiambia RIA Novosti.