Jaribio la Kutapatapa la Kundi la BRICS la Ukombozi kutokana na Mfumo wa Kimagharibi Uislamu Pekee ndio Unaweza Kuukomboa Ulimwengu kutokana Utawala wa Magharibi
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Shirika la Habari la Reuters liliripoti, “JOHANNESBURG, Agosti 24 (Reuters) - Wakati mwanauchumi wa Uingereza alipounda neno fupi la BRIC miongo miwili iliyopita ili kuashiria Brazil, Urusi, India na China, hakuwa akilini mwake na muungano ambao ungejaribu kupinga utawala wa Magharibi katika masuala ya kilimwengu...