Jumapili, 22 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Vichwa vya Habari: 05/10/2022

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken alisema katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada kwamba mashambulizi dhidi ya mabomba ya gesi asilia ya Nord Stream yanayounganisha Urusi na Ujerumani yanatoa "fursa kubwa" ya kukomesha utegemezi wa Ulaya kwa nishati ya Urusi.

Soma zaidi...

Uhakiki wa Habari 01/10/2022

Rais wa Urusi Vladimir Putin alitia saini amri Ijumaa ya kuyaunganisha majimbo manne ya Ukraine. Katika sherehe kubwa jijini Kremlin, alisema Urusi itajumuisha rasmi majimbo ya Ukraine ya Donetsk, Luhansk, Kherson na Zaporizhzhia - na kwamba watu wanaoishi huko "watakuwa raia wetu milele."

Soma zaidi...

Vichwa vya Habari 28/09/2022

Vyombo vya habari vya Uturuki vimeripoti kuwa Rais Recep Tayyip Erdogan aliwaambia wanachama wa chama chake kwamba alisikitishwa na kukosa nafasi ya kukutana na Rais wa Syria Bashar al-Assad katika Mkutano wa hivi karibuni wa Shirika la Ushirikiano la Shanghai mapema mwezi Septemba. Kauli ya Erdogan ilifuatia ripoti kwamba mkuu wa ujasusi wa Uturuki amekuwa akikutana na mwenzake wa Syria hivi majuzi katikati mwa Septemba.

Soma zaidi...

Vichwa Vya Habari 14/09/2022

Hadhi ya Uraia wa Waislamu wa Uingereza imedunishwa hadi “daraja- la pili” ikiwa ni matokeo ya muendelezo wa udunishaji hadhi ya uraia wa watu, hayo yalidaiwa na mwanafikra mmoja. Taasisi ya Mahusiano ya Jinsia ‘The Institute of Race Relations (IRR)’ imesema malengo ya nguvu hizo hayawajumuishi Waislamu, raia wengi kutoka kusini mwa Asia wamekumbana na ubaguzi na hali ngumu katika uraia wao.

Soma zaidi...

Vichwa vya Habari 07/09/2022

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Liz Truss amechukua nafasi ya Boris Johnson kama waziri mkuu wa Uingereza baada ya Chama cha Conservative cha Uingereza kupiga kura ya kumfanya kiongozi wa serikali. Alimshinda Waziri wa Fedha wa zamani Rishi Sunak, kwa kuungwa mkono na 57% ya wanachama wa Conservative.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu