Mfumko wa bei: Tatizo Sugu ndani ya Mfumo Muovu wa Kiuchumi wa Kibepari
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mfumko wa bei: Tatizo Sugu ndani ya Mfumo Muovu wa Kiuchumi wa Kibepari
Mfumko wa bei: Tatizo Sugu ndani ya Mfumo Muovu wa Kiuchumi wa Kibepari
Ijumaa tarehe 30 Oktoba 2020,wanaharakati wa Hizb ut-Tahrir/ Kenya walifanya msururu wa maandamano baridi ya kutetea hadhi ya bwana Mtume Muhammad (Rehema na Amani za MwenyeziMungu zimshukie Yeye na Aali zake).
Wakati tunapomshukuru Mwenyezi Mungu (swt) kwa kupungua maambukizi ya Covid -19 humu nchini, wakati huo huo tunasikitishwa na hatua ya serikali ya kufungua vilabu vya vileo huku Madrasa za Kiislamu kutogusiwa kamwe
Utawala wa Marekani umeitaka Kenya kuunga mkono maslahi ya kisiasa na kibiashara ya taifa la ‘Israel’ la sivyo iachane kabisa na mkataba wa kibiashara huria (Free Trade Deal- FTA) iliosaini na taifa hilo kubwa la kiuchumi duniani.
Janga la maambukizi ya virusi vya Korona linaendelea kuchua maisha ya watu wengi ulimwenguni pia limepelekea kusitishwa kwa amali nyingi za kiuchumi; na kuharibu njia za watu za kujikimu kimaisha.
Serikali kupitia baraza la dini mseto (Inter- Faith) imefungua misikiti kwa mikakati mikali.
Polisi wamewaua kwa kuwapiga risasi mtu mmoja na watoto wake wawili kwenye uvamizi wa usiku katika kaunti ya Kwale Kusini mwa Pwani ya Kenya.
Kama hatua yake mpya ya kukabiliana na janga la kiulimwengu la Virusi vya Korona, serikali imeamua kuyafunga maeneo mawili yenye idadi kubwa ya Waislamu ambayo pia ni vituo muhimu vya kibiashara; Eastleigh Jijini Nairobi na Old Town, Mombasa.
Huku umma unapoingia katika mwezi mtukufu wa Ramadhan, Hizb ut-Tahrir Kenya ingependa kutuma risala zake za dhati kuwapongeza Waislamu wa Kenya na ulimwengu kwa jumla.
Huku ulimwengu ukiendelea kukumbwa na janga la Virusi vya Korona, Kenya kama serikali nyingine duniani inaonekana kujikakamua na majaribio ya kukabiliana na janga hili.