Ijumaa, 10 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/13
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Ni Lini Mateso ya Waislamu wa Uyghur Yatakwisha?

Leo, nitawaambia kuhusu mojawapo ya sehemu iliyojaa uhalifu muovu zaidi na mauaji, ambapo mauaji ya halaiki yanafanyika, na watu wake wanateseka mateso ya kila aina, ya kisaikolojia na ya kimwili ambayo hata akili haiwezi ikayafikiria, na imekuwa kikamilifu jela la wazi licha ya zaidi ya milioni ishirini ya Waislamu wanaoishi hapo.

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari / Kitengo cha Wanawake: “Je, Tunapaswa Kujibu Vipi Maandamano ya Iran ya Kupinga Hijab?”

Katika muda wa wiki mbili zilizopita, kumekuwa na maandamano kote nchini Iran na katika sehemu nyingine za dunia kujibu kifo cha Mahsa Amini, mwanamke wa Kikurdi mwenye umri wa miaka 22, ambaye inasemekana alikamatwa na polisi wa maadili wa Iran kwa kutofinika nywele zake ipasavyo na Hijabu na kupigwa hadi kufa akiwa chini ya ulinzi wao.

Soma zaidi...

Vichwa vya Habari 28/09/2022

Vyombo vya habari vya Uturuki vimeripoti kuwa Rais Recep Tayyip Erdogan aliwaambia wanachama wa chama chake kwamba alisikitishwa na kukosa nafasi ya kukutana na Rais wa Syria Bashar al-Assad katika Mkutano wa hivi karibuni wa Shirika la Ushirikiano la Shanghai mapema mwezi Septemba. Kauli ya Erdogan ilifuatia ripoti kwamba mkuu wa ujasusi wa Uturuki amekuwa akikutana na mwenzake wa Syria hivi majuzi katikati mwa Septemba.

Soma zaidi...

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan Wakutana na Sheikh Al-Sajjadah Al-Qadiriyah Al-Arkia huko Taiba

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan kwa uongozi wa Ustadh Nasser Ridha, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan, akifuatana na Ust. Abdullah Hussein, Mratibu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano, Abdul Qadir Abdul Rahman, mjumbe wa Kamati ya Mawasiliano, Al-Nazir Mukhtar, Shariq Yusef Al-Barbari, Ahmed Bahr, Rahmah Al-Mawla Hajj, na Adam Omar, wanachama wa Hizb ut Tahrir, walimtembelee Sheikh Al-Reeh Ibn Sheikh Abdullah katika ngome yake huko Taybeh Sheikh Abdul Baqi kisiwani, mnamo Jumatano, 21/9/2022.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu