Mapinduzi ya Kijeshi Nchini Mali
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baraza la Kijeshi nchini Mali lilitangaza mnamo Alhamisi jioni 27/8/2020 kuachiliwa huru kwa Raisi Ibrahim Boubacar Keita, kwa mujibu wa kile kilicho ripotiwa na shirika la Anadolu.